JINSI YA KU-ROOT SIMU ZA ANDROID

Habari wapendwa nipo pamoja nanyi mpaka kieleweke leo tuzungumzie japo kwa uchache maelezo ya kufanya Root kwenye simu zetu za android kabla ya kuanza kuroot simu yako kutabatilisha warranty na muuzaji wako aliyekuuzia , pi root at your own risk i will not be hold responsible for any negative outcomes ANDROID ROOTING NI NINI? Ni mchakato wa kuruhusu watumiaji wa smartphones, Tablet na vifaa vingine vinavyotumia Oparetion sysetm ya android kupata uwezo kukiendesha kifaa au simu ya android katika kiwango cha hali ya juu Rooting mara nyingi hutumika kwa lengo la kuondo overcome limitations ambazo zimewekwa na watengenezaji wa vifaa vya android FAIDA ZA KU-ROOT Rooting ina faida nyingi kama vile kubadiri ROOM, Kuinstall system installed app ku install apps ambazo zinahitaji root access kama vile TITANIUM BACK UP JINSI YA KUROOT Ku root android devices kunatofautiana kati ya simu na simu , hapa nitakupatia njia za ku root baadhi y...