NJIA RAHISI YA KUFUNGUA BLOG YAKO HATUA KWA HATUA

Habari ndugu wasomaji wa ukumbi huu leo nimekuja hapa kujuzana kuhusu kumiliki blog yako mwenyewe zipo njia nyingi za kukuwezesha kumiliki blog yako bure bila kulipia nitakutajia chache

kama 
blogger.com
wordpess.com
weebly.com
webs.com

na kuna nyingine nyingi lakini sisi leo tuangazie kufungua kutumia blogger unachotakiwa kufanya ni kutembelea link yao ambayo ni hiiwww.blogger.com itakuletea muonekano huu 

Hapo unachotakiwa kufanya kama unamilliki email ya gmail ingiza hapo na nywila (password) yako kama huna utafungua akaunti mpya kwa kubofya maneno yanayo someka fungua akaunti mpya (creat new account) watakuletea fomu yao utajaza na kukubaliana nao kisha watakupatia akaunti yako sasa utakuwa umesha sign in utaona muonekano huu

kwasababu ndio mara ya kwanza muhimu kuna sehemu ya lugha ukiangalia hio picha hapo juu kwa faida yako badili uweke kiingereza cha kingdom hii itakusaidia kupata nafasi ya kujisjili na matangazo ya ADSENSE, Kama unahitaji msomaji wako aje kuona jina lako kamili kwenye machapisho (post) yako jina lako kamili bofya hapo kwenye google+ profile

kama huhitaji bofya hapo kwenye creat a limited blogger profile
sisi tunahitaji jina kamili tutabofya kwenye google+ profile itatuletea muonekano huu
Tutabofya hapo kwenye creat profile hapo tutakubaliana na masharti yao mpaka mwisho tutakapo kutana na neno finish utabofya neno hili kama watakupeleka kwenye profile yako ya google+ achana nayo tembelea link yao ya www.blogger.com kutokana tulishamaliza kukubaliana nao sasa watatuletea muonekano huu

Utabofya hapo kwenye neno continue to blogger watakuletea muonekano huu

Hapo utabofya kwenye neno new blog

neno hili linapatikana upande wa kushoto utabofya  neno hilo watakuletea muonekano huu 

Hapo utajaza kicha cha blog kwenye Title na adress ya blog ambayo unahitaji 

usiandike hili neno .blogspot.com huwa linakuja lenyewe kisha chagua template inayokuvutia 


kisha bofya neno creat blog 



mpaka kufikia hapo utakuwa umeshakamilisha kumiliki blog yako hapo kazi ni kwako kuchapisha tu na kusubiri neema ya mungu ya kupata adsense na wasomaji wengi ili uweze kunufaika kwa kupitia blog yako

kama kuna kitu kitakusumbua kuhusu kufungua blog weka coment hapa chini nitakusaidia 

NB
Kama utashindwa na unahitaji nitakufungulia na kudesgin blog yako iwe na muonekano wa kuvutia kwa Tsh:20000/= wasiliana nami kwa kupiga/ujumbe whatsapp namba +255 778 424 4116 au +255 625 886 242 shukrani kwa kusoma makala hii msambazie na yule anayehitaji hili hii itakuwa umemsaidia pia.

edybest070@gmail.com

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUPATA INTERNET YA BURE(HADI 1GB KWA SIKU )

NJIA RASIHI YA KUWEZA KU HACH INSTAGRAM ACCOUNT PASSWORD

JINSI YA KUHACK SMS