JINSI YA KUTUMIA ACCOUNT MBILI ZA WHATSAPP KWENYE SIMU MOJA

Whatsapp ni moja ya mtandao wa kijamii ambao unatumiwa na watu zaidi ya billion moja. Mpaka sasa Whatsapp imekuwa downloaded zaidi ya billion moja kwenye play store. 

Watu wengi sana wamekuwa wakitafuta njia ya kuweza kutumia whatsapp mbili tofauti kwenye simu moja. Leo nitatoa maelekezo mafupi ambayo yatakuwezesha kutumia whatsapp mbili kwenye simu yako. 

JINSI YA KUTUMIA WHATSAPP MBILI KWENYE SIMU MOJA

STEP 0

Download GB whatsaap kwa kutumia link chini
https://mega.nz/#!gNZXjBIR!PugvTjo2YFBgnfnRjGZg0feUwBSvXZsD40CKRWldwWA

STEP 1

Kama simu yako ni line moja basi weka line nyingine ambayo unataka iwe whatsapp yako ya pili

STEP 2

Install application uliyo download kwenye Step 0, kisha ifungue.

STEP 3

Utakapofika kwenye kipengele kinachotaka kuweka number ya simu basi weka namba yako ya pili ili uweze kuwa na whatsapp mbili 

Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuweka na kuanza kutumia whatsapp mbili kwenye simu moja.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUPATA INTERNET YA BURE(HADI 1GB KWA SIKU )

NJIA RASIHI YA KUWEZA KU HACH INSTAGRAM ACCOUNT PASSWORD

JINSI YA KUHACK SMS