JINSI YA KUROOT SIMU/TABLET YA ANDROID

Nini maana ya kuroot?

Kwa ufupi kuroot ni kitendo cha kukikafanya kifaa chako cha Android kuwa na uwezo wa kufanya mambo mbalimbali ambayo hayawezi kufanyika kwa kutumia kifa cha Android ambacho hakijawa rooted mfano kuinstall custom ROM katika simu yako, kubadili mwandiko katika simu yako nk

Faida za kuroot
Kuna faida nyingi za kuroot, baadhi ya faidai hizo ni:
1.Kubadilisha mwandiko katika simu/tablet yako
2.Kuistall custom ROM
3.Kuhack coins na purchases katika games mbalimbali za android
4.Kufuta system apps
5.Kuondoa matangazo katika apps

JINSI YA KUROOT
Kuna njia mbalimbali za kuroot simu yako lakini hapa nimekuletea njia moja ambayo ni rahisi na haraka zaidi!
Njia hii ni haraka na rahisi zaidi kwani haiitaji computer wala custom recovery

HATUA:
1.Download KINGROOT hapo chini
Bofya hapa kudwonload
2.Hakikisha unainternet katika simu yako na fungua app hio
3.Bofya TRY ROOT na subiria mpaka itakapo maliza!
NB: Wakati inaroot, simu yako inaweza kuzima na kuwaka yenyewe!
4.Baada ya kumaliza utapata ujumbe kuwa "root successfully" pamoja na alama kubwa ya tiki.
NB: Endapo simu yako haikuwa rooted basi hakikisha una internet na jaribu tena na endapo ikigoma tafadhari nijurishe aina ya simu unayotumia katika sehemu ya maoni.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

JINSI YA KUPATA INTERNET YA BURE(HADI 1GB KWA SIKU )

NJIA RASIHI YA KUWEZA KU HACH INSTAGRAM ACCOUNT PASSWORD

JINSI YA KUHACK SMS