JINSI YA KUBADILI MWANDIKO KWENYE ANDROID YAKO

Ili kubadili mwandiko katika simu yako fuata hatua zifuatazo
HATUA:
1.Hakikisha simu yako ipo rooted. Kama bado hujaroot ingia hapa Jinsi ya kuroot
2.Download na install ifont
Bofya hapa kudownload
3.Fungua app hio na chagua mwandiko unaotaka kisha bonyeza install kuistall mwandiko huo
4. Restart simu yako na mwandiko utabadilika

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

JINSI YA KUPATA INTERNET YA BURE(HADI 1GB KWA SIKU )

NJIA RASIHI YA KUWEZA KU HACH INSTAGRAM ACCOUNT PASSWORD

JINSI YA KUHACK SMS