Umewahi kutamani kutumia internet lakini ukashindwa kutokana na kukosa internet bundle? Huna haja ya kuhofia tena, wala kupoteza pesa kwajili ya internet! Pata internet ya bure mpaka 1GB kwa siku bila kutumia pesa yoyote ile! Hatua: ***HAKIKISHA SIMU YAKO IPO ROOTED, KAMA BADO HUJAROOT INGIA HAPAJinsi ya kuroot 1. Download app hio ya internet ya bure chini kabisa ya post hii! 2.Fungua app hio, angalia juu kabisa upande wa kulia utaona alama ya settings 3.Bofya alama hio ya settings na chagua CONFIGURE ACCOUNT 4.Baada ya hapo chagua REGISTER FOR NEW ACCOUNT NB:Utahitaji zaidi ya email adress 10 ili kupata 1GB kwa siku kwasababu kila free account itakupa 100MB 5.Jisajiri na ingia katika email yako kupata password na username yakuingilia katika app hio 6.Rudia hatua namba 2 na 3 naujaze username na password ulotumia katika email 7.Rudia hatua hizi mara nyingi uwezavyo kutapa MB nyingi za kutumia Bofya hapa kudownload NB:NJIA HII IMEJAR...
Comments
Post a Comment